Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha 19
kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Burundi na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), lengo ni kujadili na kuwekeana
makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa
katika makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea nchini kwao. Kikao hicho
kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar
es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani na Elimu ya Uzalendo
kutoka nchini Burundi, Pascal Barandagiye, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa
Kikao cha 19 kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Burundi
na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), lengo ni kujadili na
kuwekeana makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi
wanaohifadhiwa katika makambi ya wakimbizi, ambao wako tayari kurejea nchini
kwao.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius
Nyerere,jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia
Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini
Tanzania, Chansa Kapaya, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha 19
kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Burundi na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana
makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa
katika makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kikao hicho kimefanyika
leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, akipitia nyaraka mbalimbali wakati Kikao cha 19 kinachoshirikisha
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Burundi na Shirika la Kuhudumia
Wakimbizi Duniani (UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana makubaliano juu ya
Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika makambi ya
wakimbizi ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara
ya Wakimbizi, Harrison mseke. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa
Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba (watano kulia), Waziri wa Mambo ya Ndani na Elimu ya Uzalendo kutoka
nchini Burundi, Pascal Barandagiye,(wasita kulia), na Mwakilishi wa Shirika la
Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)
nchini Tanzania, Chansa Kapaya (wanne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya washiriki wa Kikao cha 19 kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Burundi na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR),
lengo ni kujadili na kuwekeana makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha
Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika makambi ya wakimbizi ambao wako
tayari kurejea nchini kwao. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa
Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment