Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Thursday 21 September 2017

JWTZ YAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS KUJENGA UZIO KUZUNGUKA MERERANI

 Meja Jenerali Michael Isamuhyo akipenya katika vichaka wakati akitembelea eneo la vitalu A mpaka D katika eneo la machimbo ya Tanzanite Mererani wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 21, 2017, tayari kwa kuanza kazi ya kujenga uzio kuzunguka eneo hilo kufuatia amri ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyotoa jana ili kudhibiti biashara ya madini hayo yanayopatikana Tanzania pekee.
 Akipokea salamu kutoka kwa Kamanda wa Polisi
 Meja Jenerali Michael Isamuhyo akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya Simanjiro na wananchi mara baada ya kutua katika uwanja wa wazi wa Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara tayari kwa kukagua eneo litakalojengwa uzio kuzunguka kitalu A hadi D katika eneo la Madini la Tanzanite Mererani ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli
 Meja Jenerali Michael Isamuhyo akitembelea na kuoneshwa eneo la vitalu A mpaka D katika eneo la machimbo ya Tanzanite Mererani wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 21, 2017, tayari kwa kuanza kazi ya kujenga uzio kuzunguka eneo hilo kufuatia amri ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyotoa jana ili kudhibiti biashara ya madini hayo yanayopatikana Tanzania pekee. Picha na mpiga picha wetu

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment