Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba, akijibu maswali kutoka kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa,(LAAC) ambayo ilikuwa ikihoji viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kutokana na ripoti ya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG).
Kamati ya Bunge baada ya kufanya mahojiano na Viongozi hao na kubaini mapungufu kadhaa ya kiutendaji ilitoa mapendekezo sita kwa Uongozi wa Jiji la Mwanza ambao walitakiwa kuwa wameyatekeleza hadi ifikapo Desemba mwaka huu.
Kamati ya Bunge baada ya kufanya mahojiano na Viongozi hao na kubaini mapungufu kadhaa ya kiutendaji ilitoa mapendekezo sita kwa Uongozi wa Jiji la Mwanza ambao walitakiwa kuwa wameyatekeleza hadi ifikapo Desemba mwaka huu.
CLICK HAPO JUU KUSIKILIZA MAAGIZO YA KAMATI KWA HALAMSHAURI YA JIJI LA MWANZA.
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba, akijibu maswali kutoka kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa,(LAAC). Kulia ni Naibu Meya wa Jiji la Mwanza ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nyamagana, Biku Kotecha na Mweka Hazina wa Jiji hilo, Kessy Mpakata.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa,(LAAC), Vedasto Ngombale (kulia) akiongoza kikao cha Kamati hiyo ya Kudumu ya Bunge ambayo ilikuwa ikiwahoji watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza. Kushoto ni Kaimu Makamu Mwenyekiti, Martin Msuha.
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba, akijibu maswali kutoka kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa,(LAAC).
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa,(LAAC) akiwahoji watendaji hao.
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba, akisikiliza maagizo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa,(LAAC).
Mbunge wa Nyamagana, Stanlaus Mabula akizungumza neno baada ya Kamati kuwahoji watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza katika picha baada ya kumaliza kikao na Kamati ya LAAC.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment