Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Saturday 13 May 2017

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA MEI 12,2017

Wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wakifuatilia kwa makini mijadala ya wabunge walipotembelea bungeni mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe akiomba mwongozo wa Mwenyekiti kuhusu bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji bungeni mjini Dodoma jana.
Wabunge wa Viti Maalum, Risala Kabongo na Grace Kihwelu wakijadiliana jambo wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma jana

Mbunge wa Viti Maalum, Salma Mwasa akichangia wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Bungeni mjini Dodoma jana
Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi akiomba mwongozo wa Mwenyekiti kuhusu bunge kujadili hali ya mafuriko na athari zilizosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini hususna kwenye jimbo lake wakati wa kikao cha bunge mjini Dodoma jana
Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigalla akichangia wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bungeni mjini Dodoma jana
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akifuatilia kwa makini mijadala ya wabunge alipotembelea bungeni mjini Dodoma jana
Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’ na Mbunge wa Viti Maalum, Latifa Chande wakiwasili kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuhudhuria vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea mjini humo.
Mbunge wa Afrika Mashariki, Pamela Maassay akimshukuru Mbunge wa Kuteuliwa, Salma Kikwete nje ya ukumbi wa Bunge jana baada ya kushinda kwenye uchguzi uliofanyika hivi karibuni bungeni hapo mjini Dodoma.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Joyce Ndalichako akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu, Bungeni mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni mjini Dodoma jana.
Warembo wa shindano la Miss Chuo Kikuu cha Dodoma ‘Miss UDOM’ wakifuatilia mijadala ya wabunge wakati walipotembelea Bungeni mjini Dodoma jana.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu, Bungeni mjini Dodoma jana
Wabunge wakijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jang’ombe Ali Hassan King, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, Mbunge wa Donge, Sadifa Juma Khamis na Mbunge wa Viti Maalum Saada Mkuya
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akifuatilia kwa makini michango ya wabunge wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma jana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, William Lukuvi akijadiliana jambo na Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea kwenye lango kuu la kuingilia ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’ na Mbunge wa Viti Maalum, Latifa Chande wakiwasili kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuhudhuria vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea mjini humo.
Mbunge wa Mufindi Kusini, Mendrard Kigola akichangia wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Bungeni mjini Dodoma jana.
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma jana.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stellah Manyanya akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu mjini Dodoma Dodoma jana.
Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge akifuatilia kwa makini michango ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji bungeni mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Ruge akichangia wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bungeni mjini Doodoma jana.
Mbunge wa Newala Kepteni George Mkuchika akijadiliana jambo na Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Viti Maalum, Aida Kenan akichangia wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji bungeni mjini Dodoma juzi.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment