Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Tuesday, 23 May 2017

SOMA HAPA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII 2017/2018

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe leo amewasilisha Bungeni ombi la kuidhinishiwa jumla ya shilingi 148,597,946,000 kwa matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018 ikiwa ni fedha za matumizi ya kawaida na fedha za maendeleo.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment