Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Tuesday 23 May 2017

WAZIRI PROF. MAGHEMBE AISHUKURU FAMILIA WAKATI WA SAKATA LA FARU JOHN

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe leo wakati wa kusoma Hotuba yake ya makadirio na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha pamoja na kuwashukuru watu mbalimbali aliishukuru familia yake kwa ushirikiano waliouonesha kipindi chote cha sakata la Faru John. 


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment