Jengo la Kiwanda cha Kuzalisha Viuadudu vya Kuua Viluwiluwi
vya Mbu wa Malaria lililozinduliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ethiopia, Mhe. Hailemariam Desalegn tarehe 2
Julai, 2015 Kibaha, Pwani.
Kaimu Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kuzalisha Viuadudu vya Kuua
Viluwiluwi vya Mbu wa Malaria, Bw. Samwel Mziray (kulia) akiwaeleza Waandishi
wa habari baadhi ya kazi zinazofanywa katika moja ya mitambo iliyopo kiwandani
hapo 15 Mei, 2017.
Mtaalam wa Maabara ya Uandaaji Bakteria katika Kiwanda cha
Kuzalisha Viuadudu vya Kuua Viluwiluwi vya Mbu wa Malaria kilichopo Kibaha
Mkoani Pwani Bw. Fumbuka Pauline akiwaeleza Waandishi wa habari baadhi ya kazi
wazifanyazo wakati wa kuwaandaa bakteria 15 Mei, 2017. Kushoto ni Kaimu Meneja
Mkuu wa Kiwanda hicho, Bw. Samwel Mziray.
Mmoja wa Waandishi wa Habari (kulia) akipiga picha ya
bakteria wanaoonekana kwa kifaa maalum cha kuangalia bakteria (Microscope)
katika Maabara ya kuaandaa bakteria 15 Mei, 2017 Kibaha, Mkoani Pwani.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment