Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde
akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana,
Ajira na Wenye Ulemavu) mkoani Dodoma Aprili 3, 2017.
Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu) wakifuatilia taarifa kutoka kwa mwenyekiti wa Baraza hilo (hayupo
pichani) wakati wa ufunguzi wa baraza hilo Aprili 3, 2017 katika Ukumbi wa
Mikutano Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu (Kazi,
Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Erick
Shitindi akiwasilisha hotuba yake wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyazi
Ofisi hiyo uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Dodoma Aprili 3, 2017.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Waziri
Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Peter Kalonga
akichangia hoja wakati wa mkutano wa
Baraza la Wafanyazi uliofanyika Aprili 3, 2017 Dodoma.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde (katikati
waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyazi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,
Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) mara baada ya kufungua mkutano huo katika
Ukumbi wa mikutano Ofisi hiyo Dodoma.(PICHA NA OFISI YA
WAZIRI MKUU-DODOMA)
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment