Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Friday, 24 March 2017

MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI


Balozi wa Ufaransa nchini, Malika BERAK (katikati) akimtambulisha Mshauri wa Masuala ya Uchumi wa Ubalozi huo, Beatrice Alperte (kushoto) kwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini, Malika BERAK  aliyemtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK(katikati) pamoja na  Mshauri wa  Uchumi wa Ubalozi  wa Ufaransa  Bi. Beatrice Alperte (kushoto), Ikulu jijini Dar es salaam. 

Balozi wa Ufaransa alimueleza Makamu wa Rais juu ya Kongamano kubwa la Biashara litakalofanyika Dar es Salaam mwezi Aprili, Kongamano hilo litajumuisha makampuni 50 kutoka Ufaransa.

Lengo la Kongamano hilo ni kuimarisha mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na Ufaransa.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment