Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Friday 27 April 2018

WIZARA YA HABARI YAOMBA BILIONI 33.349 MWAKA 2018/2019

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya mwaka 2018/2018 Jijini Dodoma, Wizara imeomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh bilioni 33.349 kwa mwaka 2018/2019
Makatibu Wakuu wa Wizara ya Habari wakifuatilia
Watendaji kutoka Taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, wakifuatilia hotuba ya Bajeti ya Wizara yao iliyosomwa Bungeni jijini Dodoma leo.
Maofisa mbalimbali wa kutoka Wizara ya Habari wakifuatilia

Baadhi ya Watendaji kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, wakiwa pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Prof. Ibrahim Lipumba (katikati) Bungeni leo.


Baadhi ya Watendaji kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, wakiwa pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Prof. Ibrahim Lipumba (katikati) Bungeni jana



Wasanii na wadau mbalimbali wa habari wakiwa Bungeni Jijini Dodoma leo
Wasanii na wadau mbalimbali wa habari wakiwa Bungeni Jijini Dodoma leo


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment