Kampuni
ya inayotoa huduma kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka UDART, inaujulisha
umma kuwa huduma hiyo imesitishwa kwa muda kuanzia saa 7:30 mchana wa Alhamis
Oktoba, 26, 2017, kutokana na kufungwa kwa Barabara ya Morogoro kwa sababu ya
daraja la mto Msimbazi kujaa maji.
Huduma itarejea mara baada ya hali
kutengemaa. Tunawaomba radhi abiria wetu kwa usumbufu uliojitokeza.
Hata
hivyo, huduma ya mabasi yaendayo haraka iliendelea kutolewa kwa njia ya kutokea
kituo cha Gerezani, Kariakoo kwenda Muhimbili.
Deus
Bugaywa, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, UDART
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment