Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 19 October 2017

NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI

 Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizotolewa na wajumbe wa Kamati ya Masuala ya Ukimwi katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma, kushoto Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu  na kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizarani, Dkt. Neema Rusibamayila.
 Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Salma Kikwete akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo. Katikakati ni Katibu wa Kamati hiyo, Happiness Ndalu na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati, Mheshimiwa Daniel Mtuka. Kikao hicho kimefanyika Mjini Dodoma ambapo wamejadili Taarifa ya Bohari ya Dawa (MSD) na Taarifa ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti UKIMWI
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakiwa katika kikao  na Watendaji wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ambapo walikuwa wakipokea Taarifa ya Bohari ya Dawa (MSD) na Taarifa ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti UKIMWI. Kikao hicho kimefanyika Mjini Dodoma.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment