Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 24 August 2017

WAZIRI KAIRUKI AZINDUA MPANGO WA ELIMU YA RUSHWA KUTUMIA MABASI YA UDART LEO


Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais MeneJementi ya Utumishi wa Umma na Uongozi Bora, Angelah Kairuki akikata utepe kuashiria uznduzi wa mpango elimu ya ruswa utakaornezwa na mabasi takribani 60 ya UDART. Pmoja naye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando na viongozi mbalimbali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,

Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menegementi ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angelah Kairuki akipata uzoefu wa matumizi ya moja ya basi la UDART. 

Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menegementi ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angelah Kairuki akimshukuru Msanii Mrisho Mpoto kwa kazi nzuri ya kufikisha ujumbe kwa jamii katika hafla ya uzinduzi huo.

Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menegementi ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angelah Kairuki akibadilishana mawazo na Afisa Mtendaji mkuu wa UDART, Mhandisi Ronald Lwakatare.

Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menegementi ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angelah Kairuki akiaga baada ya kuhitimisha shughuli ya uzinduzi huo. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment