Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Saturday, 1 July 2017

RAIS MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akitembelea mabanda mbalimbali baada ya kufungua rasmi maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo. Rais Magufuli ameyafungua rasmi Maonyesho hayo, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017, ambapo kwa ushauri wake, Maonyesho haya kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017.
 Rais Dk John Magufuli akitembelea mabanda ya Maonesho leo.
  Rais Dk John Magufuli akitembelea mabanda ya Maonesho leo.
  Rais Dk John Magufuli akitembelea mabanda ya Maonesho leo.
 Rais Dk John Magufuli akitembelea mabanda ya Maonesho leo na hapa akiwa banda la Benki ya CRDB.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment