Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Saturday, 17 June 2017

WAANDISHI WAWILI MAGAZETI YA SERIKALI WAOLEWA LEO

 Wakiwa wenye nyuso za furaha ni Benjamini Charles Nnko na Hilda Mhagama ambao leo wawili hao wamekula kiapo chankuwa mke na mume katika Kanisa la Umoja la CCT Chuo Kikuu cha Dares Salaam. Bi harusi ni Mwandishi wa gazeti la Daily News linalochapwa na kusambazwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN).
Maharusi Nelson Sandi na Sophia Mwambe, wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya wawili hao kufunga pingu za maisha katika Kanisa la KKKT Usharika wa Tabata Magengeni, Dar es Salaam leo. Bi Harusi ni mwandishi wa gazeti la Habarileo linalochapwa na kusambazwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Picha zote na Mroki Mroki.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment