Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 21 June 2017

TBC YASAINI MAKUBALIANO MAALU NA TTB,TANAPA NA NCAA KUWA NA CHANEL MAALUM YA UTALII

Kutoka kushoto,  Mkurugenzi Mwendeshaji wa TTB Devota Mdachi, Kaimu Mhifadhi wa NCAA Asangye Bangu, Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dk. Ayub Rioba wakitiliana saini makubaliano maalim ambayo yataiwezesha TBC kuwa na Chanel maalum ya kutangaza utalii nchini. 
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwa pamoja leo wamesaini makubaliano ya kuanzishwa kwa Chaneli maalum ya Utalii itakayohusika na kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini kwa soko la ndani na nje ya nchi.
Makubaliano hayo yametiwa saini na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TTB Devota Mdachi, Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dk. Ayub Rioba na Kaimu Mhifadhi wa NCAA Asangye Bangu.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment