Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Tuesday, 6 June 2017

SIMBA YATUPWA NJE YA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP KWA KUCHAPWA KWA PENATI 4-5 NA NAKURU

 Kiungo wa Simba Mwinyi Kazi Moto (kulia) akiwania mpira na Amani Kyata, wa Nakuru All Stars,  
wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini 
Dar es Salaam. Simba imetupwa nje ya michunoa hiyo kwa kufungwa kwa Penati Bao 4-5.

 Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa 
Simba Sc, Juma Luizio, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye 
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 Mshambuliaji wa Simba Juma Luizio (kulia) akichuana na Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini 
Dar es Salaam.

 eki wa Simba, Mwambeleko Jamal (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Nandwa 
Sosi,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru 
jijini Dar es Salaam.

Beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji 

wa Simba, Juma Luizio,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye 

Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 Kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Nakuru,  wakati wa 

mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es 

Salaam.

 Winga wa Simba, Jamal Mnyate, (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Nakuru All Stars,  

wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini 

Dar es Salaam.

 Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto, akijipinda kupiga shuti kuelekea langoni kwa wapinzani, Nakuru 

All Stars,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa 

Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mohamed Ibrahim wa Simba (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky, 
wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini 

Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment