#Kamati imebaini...kampuni ya Acacia Mine PLC haikusajiliwa nchini wala haina hati ya usajili nchini- Prof nehemia Osoro.
#Kamati imebaini kampuni ya Acacia PLC inafanya biashara ya madini nchini kinyume cha sheria, hili jambo linawezekana Tanzania lakini nchi zingine haiwezekani.- Prof Nehemia Osoro.
#Kamti imebaini kifungu cha 51 cha sheria ya madini, kinahusu mwenye leseni ya madini kufanya biashara ikiwemo nje ya nchi, kifungu hichi kinamtaka anayesafirisha madini kupata kibali kutoka kwa mamlaka husika.- Prof Nehemia Osoro.
#Kwa kuzingatia nyaraka na taarifa mbalimbali za kiuchunguzi, kamati imeridhika baadhi ya watumishi na wamiliki wa madini, makampuni ya madini, yametenda makosa ya jinai, ikiwemo kutoa taarifa za uongo, kuhujumu uchumi na kulisababisha taifa hasara.- Prof Nehemia Osoro.
#Kwa kuzingatia nyaraka na taarifa mbalimbali za kiuchunguzi, kamati imeridhika baadhi ya watumishi wa serikali na wamiliki wa madini, makampuni ya madini, yametenda makosa ya jinai, ikiwemo kutoa taarifa za uongo, kuhujumu uchumi na kulisababisha taifa hasara.- Prof Nehemia Osoro
#Kwa kuzingatia nyaraka na taarifa mbalimbali za uchunguzi, baadhi ya watumishi wa serikali, wamiliki wa kampuni za madini, makampuni ya madini, wasafirishaji wa madini, wamelitia aibu taifa.- Prof Nehemia Osioro.
#Kutoa taarifa za uongozo za uchenjuaji nje ya nchi, wakati makinikia hayo yaliuzwa kabla ya kusafirishwa.-Prof Nehemia Osoro.
#Makinikia hayo yaliuzwa kwa wafanyabiashara walewale na wachenjuaji wale wale wenye mahusiano ya kibiashara na makampuni haya ya madini.-Prof Nehemia Osoro.
#Makinikia hayo yaliuzwa kwa wafanyabiashara walewale na wachenjuaji wale wale wenye mahusiano ya kibiashara na makampuni haya ya madini.-Prof Nehemia Osoro.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment