Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Saturday, 8 April 2017

MBOWE, HALIMA WAHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI

 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB),  Freeman Mbowe akiwasili katika ukumbi wa mkutano tayari kwa mahojiano na kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia amri ya Spika wa Bunge ya kumtaka afike mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na matashi yasiyo na staha aliyoyatoa mapema mwezi Machi 2017 Bungeni Mjini Dodoma yaliyokuwa na madai ya kudharau Bunge.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB),  Freeman Mbowe akihojiwa mbele ya ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia amri ya Mhe. Spika wa Bunge ya kumtaka afike mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na matashi yasiyo na staha aliyoyatoa mapema mwezi Machi 2017 Bungeni Mjini Dodoma yaliyokuwa na madai ya kudharau Bunge.
 Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akihojiwa mbele ya ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia amri ya Mhe. Spika wa Bunge ya kumtaka afike mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na matashi yasiyo na staha aliyoyatoa mapema mwezi Machi 2017 Bungeni Mjini Dodoma yaliyokuwa na madai ya kudharau Bunge.
Kamati ya Bunge ikiwahoji Mbowe na Halima.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment