Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Thursday 9 February 2017

WABUNGE WALIVYO AZIMIA RC DAR NA DC ARUMERU WAITWE KWENYE KAMATI YA HAKI

MWenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge akiongoza Bunge mjini Dodoma ambapo Bunge kwa pamoja liliazimia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha
Mtoa hoja, Mbunge wa Ukonga, Waitara Mwita akizungumza Bungeni mjini Dodoma na kutoa maazimio ya Bunge ambapo alisema Wanaotuhumiwa waitwe na kuhojiwa na Kamati kisha kama wanahatia waadhibiwe.





Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya akizungumza ambapo alionesha masikitiko yake kwa vijana wanaoaminiwa katika uongozi fulani,Vijana wanaoaminiwa nasikitika wanatumia madaraka yao vibaya, wakuu wa mikoa, Wilaya" Ester Bulaya






Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment