Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Friday 3 February 2017

DAWASCO YAENDELEA KUONDOA MITA CHAKAVU KWA WATEJA WAKE

Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Kinondoni Judith Singinika (Aliyesimama) akiwa na fundi kutoka DAWASCO wakibadilisha mita chakavu  na kuweka mita mpya ya Maji katika maeneo ya Barabara ya Dunga Mtaa wa Isere, Kinondoni jijini Dar es Salaam.


Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Ilala Christian Kaoneka (kushoto) pamoja na fundi kutoka DAWASCO wakibadilisha mita ya Maji chakavu ya mteja kutoka maneneo ya Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam ikiwa ni katika mwendelezo wa Zoezi la ubadilishaji wa mita za Maji chakavu zote kwa jiji la Dar es Salaam na Miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani wa Pwani.




Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment