Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Friday 13 October 2017

MAONESHO YA 3 YA KIMATAIFA YA UTALII LA KISWAHILI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Nyerere (JNICC).

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Nyerere (JNICC).



Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Mstaafu Gaudenci Milanzi akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Nyerere (JNICC).

 Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bibi. Devotha Mdachi akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akitembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akimkabidhi mwakilishi wa Kampuni ya Ethiopia Airline tuzo ya kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kufanikisha maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Taasisi zake mara baada ya kuzindua rasmi Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Nyerere (JNICC).


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment