Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akizungumza na Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) kabla ya kufungua mkutano
huo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akizungumza na Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) kabla ya kufungua mkutano
huo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe. Dkt. John Magufuli akijadiliana jambo na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM kwa upande wa Tanzania Bara Rodrick Mpogolo kabla ya
kufungua mkutano huo wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini
Dar es Salaam.
Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) wakipiga makofi mara baada
ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli
kuwasili ukumbini hapo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akipiga makofi mara baada
ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiendelea na Kikao jijini Dar es
Salaam.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment