Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Monday 24 April 2017

KUTOKA NDANI YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA HII LEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akisoma Hotuba ya Budget ya Ofisi hiyo Bungeni Dodoma Leo.

Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina Akijibu maswali katika Kipindi cha maswali na Majibu Bungeni Dodoma leo kabla ya kusomwa kwa hotuba ya Ofisi hiyo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Mkamba (kulia) akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba Kabudi kushoto kabla ya kuwasilisha Budget ya Ofisi ya Makamu wa Rais Bungeni Dodoma mapema leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Mkamba akiingia Bungeni mapema leo Asubuhi.
Mwenyekiti  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Nyonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment