Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 23 March 2017

RAIS MAGUFULI AMTEUA ALPHAYO KIDATA KUWA KATIBU MKUU IKULURais Dkt. John Pombe Magufuli, leo Machi 23, 2017 amemteua, Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu. 

Alphayo Kidata anachukua nafasi iliyoachwa wazi na  Peter Ilomo ambaye amestaafu.

Kabla ya uteuzi huo Alphayo Kidata alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na nafasi hiyo itajazwa baadaye.

Uteuzi wa  Alphayo Kidata unaanza mara moja na ataapishwa Machi 24, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment