Na Fransisca Emmanuel
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imebaini makontena 262 ya mchanga wa dhahabu yaliyokuwa yamehifadhiwa katika bandari kavu ya MOFED inayosimamiwa na Zambia, iliyopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa TPA, Deusdedit Kakoko alisema hayo leo alipotembelea bandari hiyo ambapo alibainisha kuwa makontena hayo yalikuwa tayari kwa ajili ya kusafirishwa.
Amesema mchanga huo umetoka Buzwagi ambao umechanganyika na dhahabu, rasilimali ya watanzania.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment