Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Sunday, 5 February 2017

TAARIFA ZA HIVI PUNDE: MWANDISHI WA HABARI,KIONGOZI WA UVCCM MOSHI WAFA KATIKA AJALI WENGINE WAKIJERUHIWA

Taarifa iliyotufikia hivi punde zinaarifu kuwa gari walilokuwa wakisafiria waandishi wa habari na baadhi ya Viongozi wa UVCCM Wilaya Moshi limeata ajali jioni hii na kusababisha vifo huku wengine wakijeruhiwa vibaya.

Taarifa za awali zinasema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni FUSO kuligonga kwa nyuma gari hilo na kusababisha vifo hivyo na majeruhi.

Imeelezwa kuwa watu hao pamoja na makada wa CCM Moshi walikuwa wakitokea Wilaya ya Rombo ambako palikuwa na maadhimisho ya miaka 40 ya CCM ngazi ya Mkoa yaliyofanyika katika ukumbi wa Sekomdari ya Shauri Tanga wilayani Rombo.

Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment