Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa Miaka 17, ‘Serengeti Boys’
ikiongozwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Jamal
Malinzi na Benchi la ufundi la Timu hiyo ipo Bungeni Mjini Dodoma asubuhi hii kufuatia Mwaliko wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Serengeti
boys imepata mualiko huo baada ya kufanikiwa kufuzu fainali za AFCON kwa vijana U-17. Picha: Mroki Mroki-Habarileo Online.
Viongozi wa TFF wakiongozwa na Jamali Malinzi (wapili kulia) wakiwa Bungeni Mjini Dodoma.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment