Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Thursday 2 February 2017

KUTOKA NDANI NA NJE YA BUNGE DODOMA


Mwenyekiti wa Bunge,Najma Giga aliongoza Bunge Februari 1,2016 na kupitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (No.4) wa mwaka 2016. Mkutano wa sita wa Bunge la 11 unaendelea Mjini Dodoma tangu Januari 31- Februari 10, mwaka huu.

 Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akihitimisha hoja ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (No.4) wa mwaka 2016 ambao hatimaye ulipitishwa na Bunge juzi jioni mjini Dodoma.


 Mbunge wa Segerea, Dar es Salaam, Bonna Kaluwa akifuatilia majadiliano Bungeni
 Mawaziri na wabunge wakijadiliana mambo ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
 wabunge wakifuatilia mjadala Bungeni
 Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango akijibu maswali Bungeni
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama  akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto Bungeni. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
 
 Wabunge wakiwa Bungeni
 Naibu Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson Mwansasu  akiwa Bungeni
Mbunge wa Kigamboni, Dr. Faustine Ndugulile kiuliza swali Bungeni

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akichangia Bungeni mjadala wa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (No.4) wa mwaka 2016 ambao ulipitishwa na Bunge juzi jioni mjini Dodoma.
 Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete, akiwa viwanja vya Bunge Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Dk.Hamisi Kingwangalla (kushoto) akizungumza na Wabunge nje ya Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Viti Maalum Kigoma, Josephine Genzabuke (kushoto) akiwa na Mbunge mwenzake wa Viti Maalum Dar es Salaam, Salma Mwasa nje ya uklumbu wa Bunge.
 Mbunge wa Sumbawanga Mjini , Aeshi Hilaly akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mgaya.
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akimsikiliza Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto) akifurahi jambo na Naibu wake, Stelah Manyanya nje ya Ukumbi wa Bunge. 
 Wabunge wa Viti Maalum, Mwanne Mchemba (kushoto) na Catherine Magige wakiwasili viwanja vya Bunge Dodoma jana.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment