Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mtendaji
Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Eric Mwingira kuhusu
sampuli ya chuma kilichogunduliwa katika mgodi wa Liganga wakati
alipotembelea mgodi huo Januari 26, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea eneo lenye mlima anaoelezewa na
watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea
eneo la mgodi a wa chuma wa Liganga wilaya Ludea januari 26, 2017.
Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka na
Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa
(NDC), Samuel Nyantahe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikaguaeneo lenye mlima anaoelezewa na
watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea
eneo la mgodi a wa chuma wa Liganga wilayani Ludewa januari 26, 2017.
Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa
(NDC), Samuel Nyantahe na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe,
Christopher Ole Sendeka

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment