
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Yuri Popou (kushoto) alipotembelea katika ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika na kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam





Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment