Viongozi
na wajumbe wa mkutano Baraza la Vyuo Vikuu katika nchi za Afrika
Mashariki(IUCEA) wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)
wakati wa mkutano wa siku mbili uliofanyika jijini Nairobi Nchini Kenya
ambao ulikweka mikakati ya kimarisha viwango vya wahitimu ili kuweza
kushindana katika soko la ajira.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu katika nchi za Afrika Mashariki(IUCEA),Profesa Alexander Lyambabaje akizungumza kwenye mkutano huo .
Baadhi ya Wakuu wa taasisi za elimu kutoka Tanzania ambao walikua sehemu ya mkutano huo,kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolijia cha Nelson Mandela mkoa wa Arusha,Profesa Kalori Njau na Mkuu wa Chuo cha Ushirika Moshi mkoa wa Kilimanjaro,Profesa Faustin Bee.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Kenya na Maendeleo ya Ukanda wa Kaskazini,Peter Munya akimkabidhi Cheti mmoja wa wanafunzi waliofanya vizuri katika ubunifu ,kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu katika nchi za Afrika Mashariki(IUCEA),Profesa Alexander Lyambabaje
Makamu Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolijia cha Nelson Mandela mkoa wa Arusha,Profesa Kalori Njau (kushoto) akitoa maelezo ya shughuli za kitaaluma katika Chuo chake kwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Kenya na Maendeleo ya Ukanda wa Kaskazini,Peter Munya(katikati) ,Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Uganda,Dk Kirunda Kivejinja na viongozi wengine.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Elimu ya Juu nchini (TCU),Profesa Charles Kihampa(katikati) akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusu miakakti ya pamoja ya kuimarisha elimu ya juu katika nchi za Afrika Mashariki(EAC),kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu katika nchi za Afrika Mashariki(IUCEA),Profesa Alexander Lyambabaje na kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha St Jonnes mjini Dodoma,Profesa Emmanuel Mbennah.
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano ulifanyika jijini Nairobi nchini Kenya.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment