Treni ya abiria iliyokuwa safarini kutoka Dodoma kwenda Kigoma kupitia
Tabora imepata ajali katika eneo la kijiji cha Mpeta, Wilayani Uvinza
mkoani Kigoma hii leo baada ya kichwa kuacha njia na mabehewa mawili
kuanguka. #HabarileoUpdates
Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.
Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment