Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 23 August 2017

SIMBA YAINYOA YANGA 5-4 NA KUTWAA NGAO YA JAMII 2017/18

 Nahodha wa wekundu wa Msimbazi Simba, Method Mwanjale akinyanyua juu ngao ya Jamii waliyoitwaa katika mchezo maalum uliowakutanisha Simba na watani zao Yanga katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Agosti 23,2017. Simba iliifunga Yanga penati 5-4.

 Kikosi cha Yanga kilichochapwa 5-4 na Simba katika ngao ya Jamii 2017/2018.
 Kikosi cha Simba ambacho kimeifunga Yanga 5-4 na kutwaa ngao ya Jamii 2017/2018.
 Tazama picha mbalimbali za mtanange huo.
 Kocha Msaidizi Shedrack Nsajigwa akitoa maelekezo.
 Ngoma na Mwanjali wakiwania mpira
 Mashabiki wa Simba kwa raha zao
 Mzamiri akikabana na Ajibu wa Yanga.
Mwamuzi alitoa kadi mbili tu za njano kwa Simba na Yanga


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment