Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 21 June 2017

RAIS MAGUFULI AMTAKA MTENDAJI MKUU WA DAWASA KUSTAAFU

Rais John Magufuli amemtaka Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi. Archerd Mutalemwa (pichani) kustaafu.

Rais Magufuli amemtaka mtendaji huyo kustaafu ili aweze kutumika katika mambo mengine.

"Ndugu yangu Mutalemwa nimekuwa nikikusikia tangu siku nyingi... na wapo watu wananiuliza hivi Mutalemwa anastaafu lini... mimi nakuomba tu staafu hata kama mwili bado unakuonesha muda bado, ili yasije kukuta mabaya," Rais Magufuli. 

Ras magufuli ameyasema hayo hivi punde wakati akizindua mradi wa maji wa Ruvu Juu uliyopo Ruvu mkoani Pwani hii leo. 

"Usingoje hadi ukataliwe...kama umenisikia unielewe, usije kusema hujanielewa," Rais Magufuli.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment