Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 24 May 2017

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 24, 2017 amemteua Tixon Tuliangine Nzunda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) - anayeshughulikia Elimu. 

Kabla ya uteuzi huo Tixon Tuliangine Nzunda alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa. 

Tixon Tuliangine Nzunda anachukuwa nafasi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) - akishughulikia Elimu,  Bernard Makali ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa. Uteuzi huu unaanza mara moja.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment