Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti
ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro(aliyesimama) akimkaribisha mgeni
rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Angellah J. Kairuki (Mb) kuzindua Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara
katika Sekta ya Umma kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora mapema leo.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya
Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora , Angellah J. Kairuki
(Mb) akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Bodi ya Kima cha Chini cha
Mshahara katika Sekta ya Umma kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora iliyofanyika mapema leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kima
cha Chini cha Mshahara katika Sekta ya Umma,Gertrude Mpaka (katikati)
akizungumza baada ya uzinduzi wa bodi hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mapema leo
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya
Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah J. Kairuki
(Mb) (wa nne kutoka kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala
Bora Dkt. Laurean Ndumbaro (wa tatu
kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Kima cha
Chini cha Mshahara katika Sekta ya Umma baada ya kuizindua bodi hiyo mapema
leo.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment