Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Sunday 8 April 2018

MAJALIWA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MABALOZI WAPYA MANGU NA MUMWI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, Ernest  Mangu ambaye  ni Balozi wa Tanzania nchini Rwanda (kushoto) na Meja Jenerali  Mstaafu, Simon Marco Mumwi ambaye ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi, kabla ya mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma, Aprili 8, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na   Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, Ernest Mangu ambaye ni Balozi wa Tanzania nchini Rwanda (kushoto) na Meja Jenerali Mstaafu, Simon Marco Mumwi ambaye ni Balozi wa  Tanzania nchini Urusi ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Aprili 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment