Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Tuesday 2 January 2018

FAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM

Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
 Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" ambaye pamoja na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na  Johnson Nguza "Papii Kocha' walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Rais  Dkt John Pombe Magufuli akiwa kashikana mikono huku wakiomba dua  na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment