Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Friday, 15 December 2017

NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI, ABDALLAH ULEGA AZINDUA ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO

Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega, akizindua  zoezi la upigaji chapa mifugo  katika kijiji cha Kelema wilaya ya Nchemba mkoani Dodoma.
 Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega, zoezi la upigaji chapa  mifugo katika kijiji cha Mungoroma wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.

 Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mungoroma wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.
 Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega akimsikiliza Kaimu Meneja wa poli la akiba Swagaswaga Deogratius Swai kuhusu mifungo iliyokamatwa katika pori hilo kuanzia Julai mwaka hadi Desemba mwaka huu.
Muonekano wa mifungo hiyo iliyo kamatwa katika poli la akiba la Swagaswagaå


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment