Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Saturday, 9 September 2017

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe akiomba Mwongozo wa Spika Bungeni mjini Dodoma jana kuhusiana na matukio mbalimbali ya uvunjifu wa amani kwa viongozi na wananchi wakawaida. (Picha na Mroki Mroki).
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nzuguni mkoani Dodoma wakiwa Bungeni mjini Dodoma jana kwa ziara ya kimafunzo.
Wabunge na Mawaziri wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakifuatilia kikao cha Bunge.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiingia Bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei  Massay (kushoto) akiwa na Mbunge wa Chakechake, Yussuf Kaiza Makame, wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye akiuliza swali Bungeni Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kingwangala akijibu maswali yaliyoelekezwa katika Wizara yake wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma.
Mawaziri na Manaibu Waziri wakisikiliza maswali ya Wabunge ili kuyapatia majibu Bungeni mjini Dodoma.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment