Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 10 August 2017

RAIS UHURU KENYATTA AENDELEA KUONGOZA MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MKUU KENYA

  • Tume ya Uchaguzi inaendelea kupokea Fomu 34A za matokeo ya urais kutoka vituoni
  • Matokeo ya awali yanaonesha Rais Uhuru Kenyatta anaongoza akiwa na kura Milioni  8 huku mpinzani wake Raila Odinga ana kura Milioni 6.6.
  • IEBC imesema mitambo yake haidukuliwa, kinyume na madai ya muungano wa upinzani Nasa
  • Jumanne kulitokea vurugu katika baadhi ya maeneo mtaa wa Mathare, Nairobi na baadhi ya maeneo Kisumu. Lakini kwa sasa hali ni tulivu
  • Waziri wa usalama Fred Matiang'i amewaomba wananchi kuendelea na shughuli za kawaida bila wasiwasi
  • Katika barabara za Nairobi magari yameanza kuonekana lakini bado hali ya kawaida haijarejea. Chanzo: BBC


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment