Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Tuesday, 13 June 2017

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akizungumza na Waandishi wa habari(hawapo pichani) juu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma  yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni ,2017 yenye kauli mbiu “Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji uduma,Vijana washirikishwe kuleta mabadiliko Barani Afrika”.Kulia kwake ni Naibu katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi,Susan Mlawi.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment