Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Tuesday, 23 May 2017

MBUNGE CHEGENI ATAKA TTB IWEZESHWE ILI KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII

Mbunge wa Jimbo la Busega, Mkoani Simiyu, Dk Raphael Chegeni ni miongoni mwa wabunge waliochangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii hii leo na kilio kikubwa cha Mbunge huyu na wengine kadhaa ni kuiwezesha Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), ili iweze kutanga vyema vivutio vya utalii vilivyopo nchini. Fuata Link hapo chini kumsikiliza.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment