Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Sunday, 5 March 2017

WAZIRI MAKAMBA ATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA SERIKALI YA KUSITISHA, UZALISHAJI, USAMBAZAJI, UUZAJI NA MATUMIZI YA POMBE KALI ZILIZOFUNGASHWA KATIKA VIROBAWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba (katikati) akizungumza na Waandishi wa habari juu ya Matokeo ya utekelezaji wa maelekezo ya Serikali ya kusitisha uzalishaji, usambazaji, uuzaji na matumizi ya pombe kali zilizofungashwa katika vifungashio vya plastiki (viroba). Mkutano huo umefanyika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira, Richard Muyungi. (Picha na OMR).

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATOKEO YA OPERESHENI MAALUM YA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA SERIKALI YA KUSITISHA, UZALISHAJI, USAMBAZAJI, UUZAJI NA MATUMIZI YA POMBE KALI ZILIZOFUNGASHWA KATIKA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI (VIROBA) ILIYOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 01- 03 MACHI 2017


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment