Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Monday 30 January 2017

LWENGE AZINDUA MPANGO WA MALIPO YA HUDUMA ZA MAJI KWA MATOKEO

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh Milioni 28.1 kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Deus Mchele na Mhandisi wa Maji Wilaya, Grace Mukulasi fedha za kusaidia maboresho ya huduma za maji. Halmashauri 57 nchini zilipatiwa fedha chini ya Mpango wa Malipo ya Maji kwa Matoeo uliozinduliwa jana kitaifa mkoani Dodoma.

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Malipo ya Maji kwa Matoeo uliozinduliwa jana kitaifa mkoani Dodoma.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleiman Jafo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Malipo ya Maji kwa Matoeo uliozinduliwa jana kitaifa mkoani Dodoma.
 Waziri Lwenge akizungumza na Naibu Waziri Jafo wakati wa uzinduzi huo.
 Kundi la Burudani la Simba Dume kutoka Chihanga mkoani Dodoma likitoa burudani.

 Wa
 Kundi la Burudani la JKT Makutopora nalo liliburudisha halaiki. SOMA ZAIDI HAPA

Wageni mbalimbali ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakurugenzi wa Idara za Maji na Wahandisi wa Maji kutoka Halmashauri 57 zilizopita katika mpango huo.
 Waziri Lwenge akifuatilia matukio.
 Mwakilishi wa FDID akizungumza ambao ndio wanafadhili mpango huo.

 Wageni mbalimbali ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakurugenzi wa Idara za Maji na Wahandisi wa Maji kutoka Halmashauri 57 zilizopita katika mpango huo.
 Burudani tena....
 Wageni mbalimbali ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakurugenzi wa Idara za Maji na Wahandisi wa Maji kutoka Halmashauri 57 zilizopita katika mpango huo.

picha za pamoja

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment