Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Tuesday 22 August 2017

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Inmi Patterson aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam na kujitambulisha na kufanya mazungumzo kwa mara ya kwanza tangu alipowasili nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Inmi Patterson (Katikati) aliyongozana na Ofisa wa masuala ya Siasa Lauren M. Ladenson (kushoto) ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam./Picha:OMR.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment