tag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post5008717844732753272..comments2024-02-16T13:16:13.963+03:00Comments on DAILY NEWS-HABARILEO: KAJEMBE; MZARAMO ALIYEUTEKA MJI WA MOSHI KWA BIASHARA YA KUKAANGA MIHOGOMKhttp://www.blogger.com/profile/00232863344956268451noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post-7042426878195541082017-05-24T19:12:50.168+03:002017-05-24T19:12:50.168+03:00Huyu mzee ni shida wahindi wakiikosa mihogo kwake ...Huyu mzee ni shida wahindi wakiikosa mihogo kwake wanaandamana. Mimi si mlaji wa mihogo lakini baada ya kuionja miogo yake nilipokaribishwa na dada mmoja wa bufallo cafe nilianza kuwa mlevi wa mihogo. Napenda navyojitahidi kuwa msafi na umakini katika uandaaji wa mihogo yake. Ni kweli kauteka mji wa moshi kuanzia wahindi, wazungu, wachina na sisi waafrika. Si rahisi kumshawishi mangi kula mihogo wakati mangi ni mzee wa nyama choma na bia. Nampa Salute na kuwasihi wafanya biashara wengine wadogo kutokata tamaa katika kukuza biashara zao. Ubunifu na kujituma ni chachu ya mafanikio katika biasharaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/18202991412169833520noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post-23227597310491481972017-05-24T19:12:13.300+03:002017-05-24T19:12:13.300+03:00This comment has been removed by the author.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/18202991412169833520noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post-19246507609185785852017-05-08T14:44:56.840+03:002017-05-08T14:44:56.840+03:00Nikae kimya tu. Huyu mzee sio kwa utaalamu na akil...Nikae kimya tu. Huyu mzee sio kwa utaalamu na akili, nimefanya utundu mwingi sana na ukorofi utotoni ili kwenda kula kwake. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/18090900077475874921noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post-25778930527980959172017-05-05T18:17:15.355+03:002017-05-05T18:17:15.355+03:00Mzee Kajembe nimekaa naye sana. Aliwahi kufanya ka...Mzee Kajembe nimekaa naye sana. Aliwahi kufanya kazi TBL miaka ya tisini. Pia ni mtaalamu wa kukaanga karanga.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/16592718862025046171noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post-31031742423689836212017-05-05T13:10:08.069+03:002017-05-05T13:10:08.069+03:00DAAAAH mzee anapika mihogo mitamu sana asee. nlipe...DAAAAH mzee anapika mihogo mitamu sana asee. nlipelekaga wazungu pale mwaka jana mpaka leo wakinitafuta kunisalimia wanaiuliziaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/05147171653094346175noreply@blogger.com