tag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post4554199870999180050..comments2024-02-16T13:16:13.963+03:00Comments on DAILY NEWS-HABARILEO: MFUMO MPYA WA UHASIBU NA UTOAJI TAARIFA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINIMKhttp://www.blogger.com/profile/00232863344956268451noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post-62873046371273979322019-04-02T08:03:17.224+03:002019-04-02T08:03:17.224+03:00Nawapongeza wote waliotengeneza Mwongozo wa kufund...Nawapongeza wote waliotengeneza Mwongozo wa kufundisha FFARS kwa kutumia video nzuri kwa kweli nimejifunza na imenisaidia sana<br />Johnhttps://www.blogger.com/profile/05716113095356823351noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8987681920527306007.post-72661819416450779422019-04-02T08:00:25.567+03:002019-04-02T08:00:25.567+03:00Mfumo huu ni mzuri sana kwani utarahisha watumishi...Mfumo huu ni mzuri sana kwani utarahisha watumishi wanaosimamia raslimamli fedha katika vituo vya kutolea huduma kutoa taarifa kwa wakati na zilizo hahihi.<br />ushauri hadi sasa bado watumiaji wa mfumo huu hawajawa na uwezo wa kuutumia kwa usahihi hii ni kutokana na wengi kutopata mafunzo ya kutosha namna ya kuutumia, baada ya mfumo huu kuboreshwa na kuwepo na chngamoto ya bakaa kuhama kutoka kwenye mifuko iliyobajetiwa na mfumo ulikubali na kuruhusu malipo kufanyika hata kama fedha hakuna. kwa sasa mfumo umetengemaa lakini wengi anashindwa kulipa kwa kuonekana hakuna fedha. Hivyo utatuzi umepatikana lakini wengi wanahoitaji mafunzo zaidi.Johnhttps://www.blogger.com/profile/05716113095356823351noreply@blogger.com